Baraza la Taifa la Watu wanaoishi na Virusi vya UKIMWI Tanzania (NACOPHA) limekutana na Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mkoani Dodoma kujadili shughuli mbalimbali zinazofanywa na Baraza na Mwitikio wa UKIMWI nchini kwa sasaHapa ni Video ya Semina ya yaliyozungumzwa Bungeni na Baraza la Taifa la watu wanaoishi na VVU Tanzania Nacopha Tanzania katika Semina ya UKIMWI iliyofanyika Bungeni - Dodoma Tanzania kuhusu shughuli zinazoendeshwa na Baraza na hali ya mwitikio wa UKIMWI kwa sasa nchini Tanzania
Picha Mbalimbali za wawakilishi wa Baraza wakiwa Bungeni.